Trump asema Marekani itashambulia Iran 'vibaya mno usiku wa leo'
Rais wa Marekani aapa "kuchukua udhibiti kamili" wa masoko ya mafuta na gesi ya Iran katika "siku za hivi karibuni".
El Niño - hali ya hewa ya asili ya Pasifiki inayoongeza joto duniani - imeanza rasmi, wanasayansi wa Marekani wanasema.
Utawala wa Kitaifa wa Bahari na Anga wa Marekani (NOAA) umetangaza kwamba hali ya El Niño sasa inaendelea katika Pasifiki ya kitropiki, huku halijoto ya uso wa bahari ikiongezeka kwa kasi katika miezi ya hivi karibuni.
Utabiri mwingi unaonyesha kuwa hii inaweza kuishia kama El Niño inayoitwa "super", na hata kuwa miongoni mwa El Niño kali zaidi kuwahi kurekodiwa.
Hali hii inawadia wakati tayari kuna miongo kadhaa ya ongezeko la joto linalosababishwa na binadamu, inaweza kusababisha mwaka mwingine wenye joto kali zaidi - uwezekano mkubwa mwaka wa 2027 - huku ikivuruga hali ya hewa, usambazaji wa chakula na uchumi mwaka huo.
📌 Kaynak
Bu özet BBC Swahili kaynağından otomatik derlenmiştir. Tamamı için orijinal habere gidin.
Orijinal haberi oku →