Hezbollah yakataa makubaliano mapya ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon
Katika taarifa kali, kiongozi wa kundi hilo linaloungwa mkono na Iran, Naim Qassem, alisema mazungumzo hayo yalikuwa “yasiyo na faida” na “ya kudhalilisha” kwa Lebanon
📌 Kaynak
Bu özet BBC Swahili kaynağından otomatik derlenmiştir. Tamamı için orijinal habere gidin.
Orijinal haberi oku →